Tag Archives: swahili

Free Form Swahili Poetry

I am sitting here waiting for the NYS bore-hole pump to turn on so I can fill my personal tank so that I can do my laundry and I thought I would write up some poetry in kiswahili. Mind you, I have never taken a poetry class, or even read much about what type of art form kiswahili poetry is supposed to be, so I am still at a stage of trying to do a nice-sounding translate-from-english poem. It’s free form. Whatever. No translation though, sorry 😉

Kukia darajani usiku
Nyota juu, taa zimewashwa
Mtazamo yake iliinasa yangu
Moyo yangu, nafsi yangu
zilipunga kabisa
Sura kama malaika
Je, penzi ni uwaga huu?

Powered by ScribeFire.

Advertisement

1 Comment

Filed under A Category Other Than Uncategorized

Uporudi Chini

I thought I would go ahead for practice and translate one of my favorite songs into Kiswahili. For one, the translation does not sound nearly as nice as the original, and the translation is a tad more literal than a more emotionally meaningful translation might be, and finally the verb tenses and grammatical structures are far from perfect, but hey, gotta start somewhere, right? I hope you enjoy. Click through for the English translation.

“Uporudi Chini”
kwa Hori ya Nickeli

Uhitaji kuniodoka sasa, uhitaji kufanya peke yangu
Uhitaji kusaka ndoto, kimoja ambayo ni yangu tuu
Kabla ya imeponyoka
Uporuka kirefu, beba moyo yangu
Nitakuwa umoja pamoja ya mwimbo yote peke
Ambayo ujifunze kucheza

Uporuka angani
Nitakuwa ardhi yangu
Chakue kila hatari ambayo ungejasiri
Nitaka hapo badoo
Uporudi chini
Uporudi chini

Naendelea kuangalia juu, kungoja kurudi kwako
Hofu kuu yangu itakuwa kwamba ungepania na choma
Na sitasikia moto yako
Nitakuwa mkono mwingine ambao ikishike kamba milele
Kuleta moyo tamu yako na yangu pomoja
Mraibu ya ashiki yako

Na nitakuwa mwishoni mingine, kukusikia wakati ungeita
Malaika, ulizaliwa kuruka, ungekwenda juu pia
Upoanguka nitakukamata
Upoanguka nitakukamata

[Daraja:]
Fahamu yako ni jua ambayo kila siku mpya ileta
Najua kwamba anga inaita
Malaika, ningekusaidia na mbawa zako

Uporuka angani
Nitakuwa ardhi yangu
Chakue kila hatari ambayo ungejasiri

Nitakuwa hapo badoo
Uporudi chini
Chakue kila hatari ambayo ungejasiri
Nitakuwa hapo badoo
Uporudi chini
Uporudi chini
Continue reading

2 Comments

Filed under A Category Other Than Uncategorized